Tuesday, October 31, 2017

MAZOEZI YA UIMBAJI KWAAJILI YA NIGHT CAMPUS (The night of Praise and Worship)

Mazoezi yanaendelea..

Mwenyekiti wa Maandalizi Upande wa Uimbaji Ndugu Emmanuel Meshack

Mtumishi Pendael Muga, akiwa na piano wakati wa mazoezi.
















Mtumishi Amani akiendelea na huduma.








Mazoezi ya Casfeta Mkoa wa Iringa, kwaajili ya Night Campus yakiendelea, ndani ya kanisa laT.A.G  ICC-LUGALO.
ratiba za mazoezi ni kama ifuatwavyo:-
jnne: saa 15:00-20:00
alhamis saa 18:00-20:00
ijumaa saa saa 22:00 - 05:00 alfajili.

Karibuni sana...

Thursday, October 5, 2017

TANGAZO JIPYA 05 / 10 / 2017.




Wapendwa, WanaCasfeta mkoa wa Iringa tumepatwa na msiba Jana tarehe 04 / 10 / 2017 wa mtoto wa kiume wa kwanza wa Mchungaji MATIPA wa Cornestone anaitwa Lwitiko Matipa, Mchungaji huyu amekuwa Mlezi wa Casfeta kwa muda mrefu haitakuwa busara tukinyamaza, Kama WanaCasfeta Mkoa wa Iringa ni muhimu tufanye kitu.
Naomba tujitoe kiasi chochote kwaajili ya rambirambi, Pesa mtumie Mwazini wetu wa Mkoa: ESTHER HALEMBO 0768 - 152 449.
BY General Secretary.