Wapendwa, WanaCasfeta mkoa wa Iringa
tumepatwa na msiba Jana tarehe 04 / 10 / 2017 wa mtoto wa kiume wa kwanza wa
Mchungaji MATIPA wa Cornestone
anaitwa Lwitiko Matipa, Mchungaji
huyu amekuwa Mlezi wa Casfeta kwa muda mrefu haitakuwa busara tukinyamaza, Kama
WanaCasfeta Mkoa wa Iringa ni muhimu tufanye kitu.
Naomba tujitoe kiasi chochote kwaajili
ya rambirambi, Pesa mtumie Mwazini wetu wa Mkoa: ESTHER HALEMBO 0768 - 152 449.
BY General Secretary.
No comments:
Post a Comment