Thursday, February 15, 2018

KARENDA YA MATUKIO YA MWEZI WA PILI NA WATATU. 2018






KALENDA YA MATUKIO YA MUHIMU KUANZIA MWEZI WA PILI HADI WATATU FEBRUARY UP TO APRIL.
NO.
TAREHE
TUKIO
WAHUSIKA
ENEO
MUDA
1
10 / 02 / 2018
KIKAO
VIONGOZI WOTE
RUCU
SAA 08:00 – 12:00
2
18 / 02 / 2018
CHURCH VISIT
WANACASFETA WOTE
T.A. G
MLANDEGE
SAA 07:00 – 02:00
3
03/3/ 2018
JOINT MASS
WANACASFETA WOTE
I.P.C.C
SAA 08:30- 01:00
4
12- 16/03/2018
MAOMBI YA MKOA
WANACASFETA WOTE
KILA
WANACASFETA
WALIPO MKOA
MZIMA
MASAA 12 KILA SIKU
5
10,17,NA 24
JOINT MASS
KWENYE KANDA
WANACASFETA
KANDA HUSIKA
SAA 08:30-12:00
6
25 / 03 / 2018
KIKAO CHA TATHIMINI
VIONGOZI WA
KANDA NA
MKOA
MIYOMBONI
SAA 08:30 – 12:30
7
26 – 27 / 03 /
2018
MAANDALIZI YA KAMBI
VIONGOZI NA KAMATI
KWENYE KANDA 
-
8
28 / 03 / 2018
KUFIKA KAMBINI
WANACASFETA WOTE
EBENEZER  SEMINARY
SAA 12:00  à 
9
29-31 / 03 / 01 /
04 / 2018
KONGAMANO LA PASAKA
WANACASFETA WOTE
EBENEZER  SEMINARY

10
02 / 03 / 2018
KUONDOKA
WANACASFETA WOTE
EBENEZER  SEMINARY
SAA 06:00 à
11
24 / 31 / 03 /
2018
MAKABIDHIANO
WANACASFETA WOTE
EBENEZER  SEMINARY
SAA 10:00-01:00.

MUHIMU: Idara ya kusifu na kuabudu nayo itatoa ratiba zake, juu ya mazoezi kwaajili ya kambi

na kurekodi nyimbo za Casfeta Mkoa, jitahidi kufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii.

Prepared and brought to you from the Region General Secretary’s office
PURPOSE TO BUILD.

Mithali 1:7 casfetairinga@gmail.com 

No comments:

Post a Comment