MATUKIO YA KONGAMANO LA WANAFUNZI MABALOZI WA KRISTO;
CASFETA - IRINGA KATIKA PICHA
Vijana
wa CASFETA wakisifu
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini mahubiri
Askofu wa Jimbo la Iringa Jonas Mkane akiwa katika mahubiri
ya kuwaosia wanacasfeta na kufungua kongamano la pasaka tarehe 18/04/2014
Wanacasfeta wakiwa wamejawa na nguvu za Roho Mtakatifu,
wakikemea mapepo
Watu hawa hawajalewa bali wajawa na nguvu za Roho Mtakatifu
Wanacasfeta wa vyuo wakisikiliza kwa makini somo la Uchumba
na Mchungaji Bosco
Mchungaji Bosco
Watoto wa darasa la saba wakiwa na nyuso za furaha
walioshiriki kongamano la pasaka wakipata somo kulingana na umri wao
Wanacasfeta wakionesha vipaji mbalimbali vya uimbaji wakati wa kongamano
*********** The End ***********
No comments:
Post a Comment