THE CHRIST’S
AMBASSADORS STUDENTS FELLOWSHIP TANZANIA
CASFETA
MKOA
WA IRINGA
WAFILIPI 4:13
“NAYAWEZA MAMBO YOTE KATIKA YEYE
ANITIAYE NGUVU”.
MPANGO MKAKATI
2018-2019
‘’MWAKA
WA MABADILIKO’’
UTANGULIZI
Mpango
Mkakati ni nini?
Mpango mkakati ni mfumo wa
kimaandishi unaoonyesha kazi zinazotakiwa kufanywa na hatua mbalimbali za
kufikia malengo yaliyowekwa kwa muda maalum.
kwa sisi CASFETA – MKOA WA IRINGA, Mpango
mkakati unaonyesha utekelezaji na utendaji katika kufikia malengo / makusudi ambayo
Mungu anataka tuyafikie kwa Mwaka huu.
UMUHIMU
WA MPANGO MKAKATI NI:
·
Kwanza
ni muhimu kujua ipo faida kubwa sana kutumia mpango mkakati katika utendaji kazi
katika mkoa.
·
Faida
na umuhimu wa kuwa na mpango mkakati ni.
Ø
Mpango
mkakati huwezesha kuratibu kazi zote ili kufikia lengo.
Ø
Mpango
mkakati mara nyingi huleta ufanisi wa utekelezaji wa majukumu kuwa mazuri.
Ø
Mpango
mkakati unatoa mwelekeo wa mkoa, katika kuonyesha njia.
Ø
Mpango
mkakati unaonyesha shughuli [kazi zitakazo fanywa na mkoa katika kulitimiza
kusudi]
Ø
Mpango
mkakati unasaidia kutathimini kama malengo ya mkoa yamefikiwa kwa muda
uliopangwa.
Ø
Mpango
mkakati husaidia katika mgawanyo wa majukumu miongoni mwa wanachama [kila mtu
anajua majukumu yake].
Ø
Mpango
mkakati unaweka mpango mzuri wa matumizi ya rasilimali.
Ø
Mpango
mkakati unatusaidia kujua vipaumbele vya mkoa.
TUNATEKELEZAJE
MPANGO MKAKATI.
v
kila
mwanachama/kiongozi anatakiwa kuangalia vipaumbele vya mkoa na kuvifanyia kazi-
v
kila
mwanachama/kiongozi kushiriki kutekeleza mikakati au hatua zilizowekwa
kutekeleza malengo tuliyojiwekea kama mkoa.
v
kila
mwanachama/kiongozi kushiriki kikamilifu katika kalenda ya utendaji tuliyojiwekea
kama mkoa.
v
kila
mwanachama/kiongozi kushiriki kikamilifu katika kalenda ya utendaji tuliyo
tulijiwekea kama mkoa.
IMANI / MAADILI YETU CASFETA
- kuishi
maisha matakatifu, kuishi maisha ya unyenyekevu kujua kuwa sisi ni watumwa
wa Bwana.
- kuwa
na nia ya kristo.
- kudumisha
nidhamu, kujinyima baadhi ya vitu ili kutimiza mapenzi ya Mungu [uadilifu]
- kuonyesha
uaminifu, kuhakikisha tunatekeleza tuliyoagizwa kutoka kwa wale wanaotuongoza.
- tukubali
kukosolewa na kuonywa tunajua kuwa hakuna aliye bora kuliko mwingine bali
tupo hivi tulivyo kwa neema ya Mungu.
MAONO
- Kukua
kiroho, kihuduma na kuongezeka kiidadi.
- kujiimarisha
kielimu.
DHAMIRA
- kujenga kizazi imara kiroho na
kimwili.
MALENGO
1. KULETA
UAMSHO.
§
kutembelea
kanda zote. Tukianzia na kanda zifuatazo: - kalenga na ifunda
§
Ufunguzi
wa matawi, jambo hili likisimamiwa na viongozi wa Kanda.
§
Mkutano
wa Injili, ambao utafanyikia katika kanda ya Manispaa mnamo Mwezi wa Sita (06) ukiongozwa
na Wanacasfeta mkoa mzima.
§
Semina
ya Mkoa (Upande wa Vyuo) na Sekondari kwa upande wa kanda.
§
Kutembelea
makanisa mbalimbali ya kipentekoste yaliyopo ndani ya mkoa wetu
§
Huduma
za jamii, kwa mfano kuwaona Watoto yatima ambapo tukio hili litafanywa na kila
kanda.
2. Kukuza
Kiwango Cha Elimu Na Ufaulu.] any people.
- kuandaa
semina za kielimu.
- Kukusanya
mtokeo ya member wote.
- Kuhamasisha
usomaji wa wanacasfeta kupitia Associate Casfeta member na kwa upande wa
Sekondari kuhamasisha kupitia Wanavyuo.
- Kufuatilia
matokeo ya wanacasfeta hasa sekondari.
3.
Kutengeneza
na Kuandaa Viongozi.
- kuandaa
ibada na semina zenye mkazo juu ya uongozi.
- kuwahamasisha
wanacasfeta kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikari ya
wanafunzi.
- kugawa
majukumu ya kimaongozi kwa wanacasfeta.
4. Upatikanaji
Wa Ofisi Ya Casfeta Mkoa.
- Ada za uanachama
5.
Miradi ya mkoa.
§
Stetionary.
§
T-shirt
KALENDA
YA MATUKIO
MWEZI
|
TAREHE
|
TUKIO
|
WAHUSIKA
|
SIKU
|
ENEO
|
April
|
7 / 04 /
2018
|
Kikao
|
Viongozi
wa Casfeta (kamati kuu)
|
J’mosi
|
Manispaa(Iringa
University)
|
14 / 04
/ 2018
|
kikao
|
Viongozi
wa casfeta
(kamati
kuu na Idara, wakurugenzi)
|
J’mosi
|
Manispaa
|
|
27-28 /
04 / 2018
|
Ziara
kwenye kanda
|
Viongzoi
wa casfeta mkoa
|
I’jumaa
na j’mosi
|
Ifunda,
na kalenga
|
|
May
|
01 / 05
/ 2018
|
Semina
ya wanavyuo
|
Wanacasfeta
wanavyuo
|
J’nne
|
Manispaa(Iringa
University)
|
2 - 3 /
05 / 2018
|
Maombi
ya mkoa
|
Wanacasfeta
wote
|
J’nne
hadi alhamis
|
kanda
|
|
05 / 05
/ 2018
|
Semina
kwa sekondari
|
Wanacasfeta
kwa sekondari
|
J’mosi
|
Kanda
husika
|
|
13 / 05
/ 2018
|
Church
visity
|
Wanacasfeta
wote
|
J’pili
|
Mkimbizi(K.L.P.T)
|
|
14 - 18
/ 05 / 2018
|
Ushuhudiaji
kimkoa
|
Wanacasfeta
wote
|
J’tatu -
Ijumaa
|
Kanda
|
|
28 - 31
/ 05 / 2018
|
Uhamasishaji
wa kongamano la June
|
Viongozi
wote
|
J’tatu-alhamisi
|
Kanda
|
|
June
|
1 - 2 /
06 / 2018
|
Maombi
ya kufunga saa 24 kwa viongozi wa CASFETA
|
Viongozi
wote
|
I’jumaa
hadi J’mosi
|
Mkoa
|
4 - 8 /
06 / 2018
|
Leaders’
Conference”Kongamano la Viongozi”
Viongozi
na wanachama wote Maadhimisho ya miaka 25 ya CASFETA (Silver Jubilee)
|
Viongozi
wote
|
J’tatu
hadi I’jumaa
|
Tabora
|
|
16 / 06
/ 2018
|
Kikao
|
Viongozi
wote
|
J’mosi
|
Manispaa
|
|
Kalenda nyingine
tutaitoa baada ya tarehe 16 / 06 / 2018.
|
CASFETA
TAIFA.
KANDA SABA ZA MAKONGAMANO
S/N
|
KANDA
|
MIKOA
HUSIKA
|
KITUO
|
01
|
Kanda ya Kaskazini
|
Manyara, Arusha, Kilimanjaro.
|
Manyara
|
02
|
Kanda ya Kaskazini Mashariki
|
Tanga, Zanzibar, Pwani, Dar es
Salaam.
|
Dar es Salaam.
|
03
|
Kanda ya Kusini
|
Rukwa, Songea, Mbeya, Njombe
|
Rukwa
|
04
|
Kanda ya Kusini Mashariki
|
Mtwara, Lindi, Ruvuma
|
Lindi
|
05
|
Kanda ya Magharibi
|
Katavi, Kigoma, Tabora
|
Kigoma
|
06
|
Kanda ya Ziwa
|
Mara, Mwanza, Geita, Kagera,
Simiyu, Shinyanga.
|
Geita
|
07
|
Kanda ya Kati
|
Dodoma, Singida, Morogoro, Iringa
|
Morogoro
|
Imeandaliwa na Uongozi wa Casfeta Mkoa, na kutolewa na
Ofisi ya makatibu.
Kwa Mawasiliano.
Email: casfetairinga@gmail.com
Mwenyekiti
Mkoa: 0769 777 689, Katibu Mkoa: 0766 635 382 / 0654 623 492