Thursday, June 22, 2017

NEW TANGAZO

Bwana Apewe sifa Viongozi wa Mkoa,.
Tupende kuwapa taarifa muhimu ya kikao cha mkoa kwa viongozi wake kuanzia kamati kuu mpaka idara zote, pia Viongozi wa manispaa( Iringa Mjini) nao tunawaitaji muwepo, kuanzia kamati kuu na Idara zote katika kikao hicho.

Muda wa kuanza ni saa 15:00 hadi 17:30.
Eneo: Ruaha catholic university(RUCU)

Muhimu: Kuzingatia Muda.

By. Katibu Mkoa Mkoa Musa Jonas
       0753 683891
       Mkamu katibu  Nicholaus Simon 
       0766 635 382

PICHA ZA MATUKIO KATIKA KONGAMANO LA PASAKA MWAKA 2017.

kongamano hili la Casfeta Mkoa wa Iringa lilifanyikia katika shule ya seminary Ebenezary.

(a) Waazini wa MKoa wakiwa katika mapokezi.




                                                Mch Lekeni kutokea Chuo kikuu cha Iringa.


                                        Mkurugenzi akimtambulisha Katibu wa Casfeta TAIFA.



                                  Mchungaji akitoa huduma ndani ya kongamano.


   Viongozi walio maliza Muda wao wa uongozi.
                                          Mwenyekiti wa Kwanza wa Casfeta Mkoa wa Iringa Frank Nderwa.


Rev Mlumbe akiwaweka wakfu Viongozi wa Mkoa wa mwaka 2017/18.
 
 Hatimaye kongamao lilifika mwisho na wanacasfeta walianza kurudi.
                 
                                Mpendwa msomaji wa blog hii,,

Hakika matukio yapo mengi sana,naomba Upitie pia katika FB Page yetu ya Mkoa: casfeta Iringa Region. ili Uendeleze kuangalia matukio zaidi.

 BY Region I.T Casfeta Department.
       0766 - 635 382 
       Email: casfetamkoa