Showing posts with label Events. Show all posts
Showing posts with label Events. Show all posts

Thursday, May 3, 2018

MATUKIO MBALIMBLI YALIYO FANYIKA KATIKA SEMINA YA WANAVYUO ILIYO FANYIKIA CHUO KIKUU CHA IRINGA.

Semina hii, iliandaliwa na Casfeta Mkoa wa Iringa, hasa ikihusisha wanavyuo.
Mwl wa semina alikuwa Mch Gregoly David kutokea DSMm, somo: JINSI YA KUMPATA MWEZI BORA KUTOKA KWA BWANA, sambamba na semina alifanya huduma ya Maombi na Maombezi kwa Wanavyuo hao.
Idadi ya walio udhuria hawakupungua 150,. Wanavyuo kutokea UoI, Muce, Rucu, Dabaga, n.k










          Baada ya Event kuisha,,Picha ya Pamoja ya Viongozi wote wa vyuo na vyuo vikuu, pampoja na mkurugenzi wa mkoa, mwenyekiti wa Maombi taifa pamoja na Mkurugenzi wa Casfeta Upnde wa Vyuo na Vyuo vikuu Taifa.





Thursday, March 29, 2018

CASFETA - KONGAMANO LA PASAKA, SIKU YA KWANZA.

Hizi ni baadhi ya picha za zinazo onyesha baadhi ya matukio mbalimbali yaliyo endelea ndani ya kambi hili la Casfeta kwa wanavyuo, sekondari na shule za msingi.
Karibu.