2. NIGHT CAMPUS NIGHT CAMPUS YA MKOA.
Hii ni Ibada ya Mkesha wa kusifu na kuabudu itakayo fanyikia katika kanisa la T.A.G MLANDEGE.
Tarehe 17/11/2017.
Tunatalajia tuwe na mwimbaji BOAZ DANKEN kutokea Mwanza, pamoja na Praise and worship ya Mkoa ikiongoza Ibada hiyo.
MUHIMU: Kila mwanacasfeta anatakiwa achangie ili tukio letu lifanikiwe.
Wanavyuo: sh.10, 000/=
0’level na A’level: sh. 1,000/=
Muhimu kwa Viongozi wa Shule za O’level na A’level:
Tawi lijitahidi kukusanya michango kwa nguvu kubwa kwasababu pesa itakusanywa kulingana na wingi wa wanachama waliopo kwa kiwango kilicho andikwa hapo juu. Pesa zote zitumwe Kwa Waazini wa Mkoa:
Ester Harembo: Mpesa 0768 – 152 449
Jackliner Thomas: Tigopesa 0711 – 235 655.
3. RATIBA YA MAOMBI KWAAJILI YA MAANDALIZI YA NIGHT CAMPUS.
Tarehe 11 / 09 / 2017 – 15 /09 / 2017 (Masaa 12), Wanacasfeta mkoa mzima kuingia katika maombi na siku ya ijumaa Wanacasfeta wote waliopo hapa Iringa na wakurugenzi wote wanatakiwa kufika katika kanisa la T.A.G. Cornestone ili kuhitimisha maombi kwa pamoja.
Muda saa 01:30 – 15:30
Pia ijumaa ya kwanza mwezi wa kumi 06 / 10 / 2017, Kutakuwa na Mkesha wa Viongozi wote wa Mkoa, kanda na matawi, mkesha huo utafanyikia katika kanisa la T.A.G. MLANDEGE, Kuanzia saa 21:00 am – 03:00 pm
BY KATIBU CASFETA MKOA WA IRINGA
No comments:
Post a Comment