Mwl wa semina alikuwa Mch Gregoly David kutokea DSMm, somo: JINSI YA KUMPATA MWEZI BORA KUTOKA KWA BWANA, sambamba na semina alifanya huduma ya Maombi na Maombezi kwa Wanavyuo hao.
Idadi ya walio udhuria hawakupungua 150,. Wanavyuo kutokea UoI, Muce, Rucu, Dabaga, n.k
Baada ya Event kuisha,,Picha ya Pamoja ya Viongozi wote wa vyuo na vyuo vikuu, pampoja na mkurugenzi wa mkoa, mwenyekiti wa Maombi taifa pamoja na Mkurugenzi wa Casfeta Upnde wa Vyuo na Vyuo vikuu Taifa.