Saturday, July 22, 2017

KIKAO CHA VIONGOZI WA CASFETA KAMATI KUU NA IDARA ZOTE.

a) Kamati kuu Viongozi wa Casfeta Mkoa wa Iringa.


 b) Kamati kuu pamoja na Viongozi wa Idara, watano kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa, Rev Paul Mlumbe.




c) viongozi wa  kamati kuu na Idara wakiwa ndani ya Idara.


d) Makamu katibu wa Mkoa, Ndug Nicholaus k. Simon.

e) Mwazini Mkuu wa Mkoa Ester Harembo na pembeni ni kiongozi wa Sifa na Kuabudu Mkoa.



 f) Mwenyekiti Mkuu Casfeta Ndugu FERDINAND  NTANI kulia ni M/kiti  Ndugu  NOEL MASEBO.  
        

 

No comments:

Post a Comment