Sunday, September 3, 2017

JOINT MASS KANDA YA IFUNDA.

Ibada hii ilifanyiak tarehe 02/09/2017, katika kanisa la T.A.G -IFUNDA.
Ambapo kiongozi wa Mkoa makamu katibu Ndugu Nicholaus Simon, alikuwepo akimwakilisha Mkurugenzi wa Mkoa ambaye alibidi afike naye katika ibada hii.

Wakwanza kulia ni katibu upande wa wakurugenzi ndani ya kanda ya Ifunda na watatu ni Mch. Danda ambaye ni mlezi wa kanda hii, wa sita aliye vaa suti nyeusi ni Makamu katibu wa Mkoa Nicholaus Simon.



Hakika Mungu ni mwaminifu katika Ibada hii waliokoka wanacasfeta wasio pungua saba.
Makamu katibu Mkoa Ndugu Nicholaus Simon, ambaye ndiye aliye kuwa Muhudumu akizungumza nao mara baada ya Ibada kuisha.



Viongozi wa Kanda wakiwa na Makamu katibu Mkoa kwenye picha ya pamoja.
"CASFETA IRINGA IKO SEHEMU MUNGU ANATUPELEKA"

No comments:

Post a Comment